SERIKALI YASIMAMISHA WAFANYAKAZI,KIWIRA

Serikali kupitia wizara ya nishati na madini imeweka msimamo wake wa hatma ya wafanyakazi wa mgodi wa makaa ya mawe huko KIWIRA.

Hayo yamesemwa na Katibu mkuu wa wizara hiyo ndugu Eliakim Maswi kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es salaam.

Ndugu Maswi amesema kuwa kutokana na kutokidhi kwa makubaliano yao na mkandalasi wa zamani TANPOWER kuhusu kuusimamia mgodi huo, ndio imekuwa chanzo cha serikali kuweka msimamo wa kuwasimamisha takribani wafanyakazi 398 ambao walikuwa waliighalimu serikali kiasi cha bilioni 4.1 kila mwezi.
Share on Google Plus

About Michael Neto

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

1 comments:

Michael Neto said...

sasa kwann serikali isimuadhibishe mkandalasi