WITO WA ELIMU YA UZAZI NA UKIMWI KWA VIJANA

Wazazi nchini wamepewa wito wa kutokuwa na hofu ya kuongea na watoto wao juu ya suala la ukimwi na magonjwa ya zinaa.

Hayo yamemeelezwa na Bi. Marystella Maufi kaimu kamishna wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kwenye makabidhiano ya mtandao wa vijana kuhusu elimu ya magonjwa ya zinaa na ugonjwa wa ukimwi kwa vijana unaojulikana kama PASHA,jijini Dar es salaam.

Bi Maufi amesema kuwa mtandao huo ambao unatoa elimu kwa vijana juu ya umuhimu wa kujikinga na magonjwa ya zinaa na mimba za utotoni, umesaidia sana jamii yetu.

Kwa upande wake mshiriki wa mkutanowa makabidhiano hayo Bi Florah Aloyce amesifu mfumo unaotumiwa na PASHA kutoa elimu kwa vijana
Share on Google Plus

About Michael Neto

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments: