Tanzania inampango wa kuinua kipato cha wananchi wake kutoka kwenye kipato cha chini mpango kufikia kipato cha kati.
Hayo yamesemwa na Rais wa mtandao wa wanataaluma nchini Ndugu Phares Magesa katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es salaam.
Ndugu Magesa alisema wao kama mtandao wa wanataaluma wanaanzisha kongamano hilo ambalo litawajuza wananchi juu ya uchumi wao.
Kongamano hilo ambalo litawashirikisha wanataaluma wa sekta mbalimbali,litajikita zaidi kwenye kilimo,biashara,ujasiriamali na mbinu za kupata mikopo.
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment