JESHI LA POLISI NCHINI
KUPITIA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI LIMETAKIWA KUANZA MIKAKATI ENDELEVU YA
KUSIMAMIA SHERIA ZA BARABARANI, HASA KWA WAENDESHA PIKIPIKI,BAJAJI NA KUTOA
ELIMU ELEKEZI IKIWA NI PAMOJA NA KUWAADHIBU WANAO KIUKA SHERIA HIZO LENGO IKIWA
NI KUPUNGUZA AJALI ZA MARA KWA MARA.
PICHANI : Moja ya picha zilizonaswa na mwandishi wetu kuhusu uendeshaji wa pikipiki |
WAKIONGEA NA MWANDISHI
WETU WAENDESHA BAJAJI NA PIKIPIKI WILAYANI HAI MKOANI HAPA,WAMESEMA AJALI
NYINGI ZA BARABARANI ZINATOKANA NA KUTOTAMBUA KANUNI ZA SHERIA ZA USALAMA
BARABARANI NA KUSABABISHA VIJANA WENGI KUPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA AJALI HIZO.
.
AIDHA MRATIBU WA JESHI
LA POLISI ENDRY NGUVUMALI
AMESEMA UEGESHAJI WA PIKIPIKI.BAJAJI NA HATA MAGARI KINYUME SHA SHERIA ZA
USALAMA BARABARANI UNACHANGIA KWA KIASI KIKUBWA, KUSABABISHA AJALI AMBAPO SHERIA INAELEKEZA KUMTOZA FIDIA DEREVA
ANAYE KIUKAKANUNI HIZO.
PICHANI : Endy Nguvumali akitoa hoja |
HATAIVYO ZAIDI YA
MADEREVA WA BAJAJI NA PIKIPIKI MIANE THEMANINI NA TANO WILAYANI HAI MKOA HAPA,
WAMEPATIWA UFAHAMU WA SHERIA ZA USALAMA
BARABARANI NA SHIRIKA LA APEC,MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA HILO, RESPICIUS
TIMANYWA, AMESEMA TAYARI KWASASA WAMEZUNGUKA MIKOA KUMI NA NANE YA TANZANIA
0 comments:
Post a Comment