UBUNIFU NA MUONEKANO MZURI

Vijana wengi nchini Tanzania pamoja na dunia nzima wanakuwa na shauku ya kuwa na muonekano mzuri kimavazi na kiafya pia, hiyo pia inasababisha vijana hao kujipatia ajira kwenye moja ya makampuni ya ubunifu wa mavazi ili mradi tu makampuni hayo kuweza kuonesha muonekana mzuri wa mavazi yao pia.

Kamera yetu ili tembelea katika sherehe za kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo cha uandishi habari Times School of Journalism(TSJ) na kukutana na vijana kadhaa wanaoonesha ubunifu wao wa mavazi.





Share on Google Plus

About Michael Neto

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments: