Mheshiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya M Kikwete ameungana na watanzania wote kulaani vikali tukio la kulipuliwa kwa kanisa la katoliki parokia ya st. peters iliyopo olasiti lilisababisha kifo cha mtu mmoja na majeruhi zaidi ya 50. Mh. Jk ametoa pole kwa wote waliojeruhiwa na wale waliofiwa.Pia ameliagiza jeshi ya polisi kutafuta mtu/watu walihusika na tukio hilo na sheria kuchukua mkondo wake.Kwa sasa Jk yupo nchini Kuwait kwa ziara ya kiserikali.

Share on Google Plus

About Michael Neto

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments: