KESI YA KAJALA

Hatimaye kesi ya muigizaji wa filamu za bongo KAJALA MASANJA sasa imechukua sura mpya baada ya Hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu kutoa hukumu ya kesi inayomkabili mwanadada huyo pamoja na mumewe.
Hukumu iliyotolewa na hakimu Sundi Fundi kwa Kajala ni hukumu ya kifungo cha miaka 5 jela pamoja na faini ya sh.13milioni pia na mumewe kupewa hukumu ya kifungo cha miaka 7 jela pamoja na faini ya sh 200milioni. Rufaa imeruhusiwa
Share on Google Plus

About Michael Neto

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments: