Mikutano ya vyama vya siasa sasa imekuwa miba kwa wananchi... kutokana na kutoshana nguvu na jeshi la polisi, hii inadhiirika katika vurugu zilizotoke mjini Mbeya na Iringa Kwenye maandamano ya Chama cha Chadema ambapo Serikali kupitia Jeshi la Polisi lilikataza Maandamano Hyo ili kupisha Zoezi zima la Sensa,

Lakini kutokana na kutoelewana ndipo nguvu ya Dola na wananchi ikatumika, Na kusababi vifo vya watu wawili... mwananchi wa kawaida huko Mbeya na mwandishi wa Chombo cha Channel 10.. Baada ya kulipukiwa na kitu kinachodhaniwa ni bomu.


Chini ni picha za matukio ya vurugu huko Iringa na NAOMBA RADHI KUNA PICHA NI ZA KUTISHA.

PICHA: Polisi wa FFU Iringa wakimzingira mwandishi wa Channel 10 na kumpa kipigo ni baada ya kuwakimbilia kuomba msaada
 


PICHA: hapa ni baada tu ya kipigo kile ndipo bomu likalipuka, nyamanyam zile ni mwili wa ndugu Mwamtosi wa Channel 10.

PICHA: Huu ni mwili wa marehemu Baada ya Mlipuko
Share on Google Plus

About Michael Neto

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments: